Barnaba amwagia sifa Hamisa Mobetto

0
142

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba amewataka wanamuziki wa kike wa Bongo Fleva kujiandaa na ujio wa Hamisa Mobetto kwenye muziki kutoka na kipaji alichonacho.

Banarba amefunguka na kuona kipaji kikubwa alichonacho Hamisa Mobeto na kuanza kuwapa tahadhari wasanii wengne hasa wale wa kike kuwa hata siku moja wasije wakakaa wakabweteka kwa sababu  Hamisa atawapita muda so mrefu.

Hamisa Mobeto ambae ametoa wimbo mpya hivi karibuni na kuonekana kuwa wimbo huo utafanya vizuri kutokana na kupokelwa vizuri, nawasahasa wasanii kukaa chinjo na wanadada huyo kwa sasa.

Wimbo wa hamisa kwa sasa umekuwa habari ya mjini kwa sababu kila mtu amekuwa akizungumzia wimbo huo ambao ametoa ikiwa ni wimbo wake wa pili lakini amekuwa akiwatia moyo hata wale wanampa sapoti.

LEAVE A REPLY