Barnaba afunguka sababu ya kuimba nyimbo za gospel

0
243

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba Classic amefunguka sababu kubwa ya kuachia album yake yenye nyimbo sita huku  nyimbo hizo zote akiwa  ameimba gospel akimshirikisha Damian soul.

Barnaba amekuwa akizoeleka kuimba nyimbo za kulalamika sana kuonewa katika mapenzi lakini safari hii amekuja kwa utaofauti baada ya kuachia album hiyo yenye muonekano wa tofauti kidogo kutokana na uwepo wa nyimbo hiyo ya injili.

Akiongea sababu kubwa ya kuamua kuimba ivyo, barnaba anasema  aliguswa sana na historia ya mpiga picha MXCartr baada ya kuwekwa jela kwa siku kadhaa.

Amesema kuwa Mtu alitetoa wazo hili kuu ni Mxcarter baada ya kupata matatizo na kuwekwa ndani kwa siku 8 pale Central kwaio wimbo huu ni kama shukrani kwa kuyapita hayo.

Barnaba amesema kuwa uwepo wa album hiyo haimaanishi kuwa amecaha kuimba Bongo fleva maana kuna album inaitwa Washa inakuja.

LEAVE A REPLY