Barnaba afunguka kusumbuliwa na tatizo la sauti

0
80

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba ameeleza kwa urefu kuhusu tatizo la sauti ambalo lilimtokea hivi karibuni na kushindwa kuimba.

Barnaba amesema kuwa baada ya kumuona daktari, alimwambia itabidi apate tiba na itambidi akae miezi minne bila kuimba.

Barnaba baada ya kufika kwa Mchungaji Boniface Mwamposa na kutumia mafuta yanayotolewa na Mchungaji huyo, alipona kabisa tatizo hilo ndani ya siku chache.

Mwanamuziki huyo kwasasa anafanya vizuri kutokana na vibao vyake hivyo anamshukuru mungu kwa kumuondolea maradhi hayo yaliyokuwa yanamsumbua.

LEAVE A REPLY