Baraka The Prince amwagia sifa mpenzi wake Naj

0
327

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince amemsifia mpenzi wake Naj kwa mapenzi anayompa toka walipoanza mahusiano yake.

Baraka The Prince amefunguka maneno mazito kwa mpenzi wake huyo alipokuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Barakah na Naj walirudiana hivi karibuni Baada ya kuachana kwa muda mrefu Baada ya skendo za Barakah kuchepuka na wanawake kadhaa ikiwemo kudaiwa kumpa ujauzito mwanamke mwingine.

Barakah ameibuka na kumuandikia maneno mazito mpenzi wake Naj alipokuwa anasheherekea siku yake kuzaliwa kwa mpenzi wake huyo.

LEAVE A REPLY