Baraka The Prince afunguka haya kuhusu Naj

0
333

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baraka The Prince amefunguka kwa kusema kuwa ameridhika na mpenzi wake Najma kwa kila kitu.

Baraka ambaye kwasasa anatamba na wimbo wake ‘Acha Niende’ amesema kuwa hawezi kuwa katika maisha ya mapenzi na mtu ambaye anakasoro lakini kwa Naji hana kasoro.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa kwa Najma haoni kasoro yoyote ile na ndiyo maana aliamua kuwa naye kwani si utamaduni wake kuwa na mtu ambaye ana kasoro.

BaRAKA

Baraka The Prince na Naj wamekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu sasa toka waanze mapenzi yao.

Kwa upande wa Naj amesema kuwa ameridhika kuwa na Baraka na ndugu zake wamebariki mapenzi yao kutokana na kuwa wazi.

LEAVE A REPLY