BAKWATA lawakana masheikh waliohudhuria ibada kanisani kwa Gwajima

1
1186

Baada ya jana mashehe kuonekana kuhudhuria ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mchungaji, Josephat Gwajima, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema halihusiki na mashekh hao.

Taarifa ya Baraza hilo imesema kuwa halina uhusiano na watu hao wanaosemekana kuwa mashekh na wala kuhudhuria kwao ibada kwenye kanisa hilo hakuhusiani na BAKWATA.

bakwata-barua

 

 

1 COMMENT

  1. Alhamdulillah thumma alhamdulillah. Nawashukuru saana Bakwata kwa kukanusha taarifa za Hao madhwlim mamurtadi wakubwa. Allah awajalie Usimami mzur Bakwata. Maana mm Jan kidogo nifanye kitu.

LEAVE A REPLY