AY KUWARUSHA ‘MANDELA DAY’ JIJINI J’BERG

0
393
AY: Mzee wa commercial Ambwene Yesaya

Staa wa Bongo Fleva, Ambewne Yesaya ‘AY’ anatarajia kuwa mmoja wa wasanii kutoka Afrika watakoatumbuiza kwenye tamasha la kumuenzi mpigania uhuru wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela hapo kesho jijini Johannesburg.

Tamasha hilo lijulikanalo kama Mandela Day hufanyika kila mwaka kuuenzi mchango wa hayati Nelson Mandela alioutoa katika kupigania uhuru wa taifa hilo.

Wasanii wengine watakaotumbuiza katika tamasha hilo ni pamoja na Banky W, Iyanya, Cassper Nyovest, KCEE, Waje, Patoranking na Mtee, HHP.

AY: Mzee wa commercial Ambwene Yesaya
AY: Mzee wa commercial Ambwene Yesaya

ay1

LEAVE A REPLY