AY afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Rwada

0
312

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi ‘Remy’ ambapo harusi imefanyika juzi nchini Rwanda.

AY na mpenzi wake wamefunga ndoa hiyo jana nchini Rwanda ambako ndipo anatokea mwanamke huyo Remy.

Mwaka jana AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.

Harusi hiyo imehudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao ambapo AY alisafiri hadi nchini Rwanda kwa ajili ya ndoa hiyo.

LEAVE A REPLY