Aunty Ezekiel amuwakia Shamsa Ford

0
28

Baada ya muigizaji wa Bongo Fleva, Shamsa Ford kudai kuwa anashangazwa na rafiki yake Aunty Ezekiel kuwa na mahusiano na watoto wa chekechea, Aunty ameamua kuvunja ukimya na kumjibu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aunty ameshusha ujumbe mzito kwa Shamsa, huku akimweleza kuwa yeye si msemaji wa familia yake.

Ameanza kwa kuandika kuwa “Anaekuheshimu mheshimu pia, sitaki kuongea sana, nakuheshimu Shamsa, naomba tuheshimiane, wewe sio msemaji wa familia yangu wala hayakuhusu ya familia yangu mbwa wewe, ya kwako mangapi au unavyofanyia kizani unaona watu hawakujui.

 

Kwa upande mwingine Aunty amezindua rasmi, TV Show yake ambayo itakuwa mahsusi kwa ajili ya kuelezea na kuonyesha uhalisia wa maisha yake.

LEAVE A REPLY