Aunty Ezekiel afunguka sababu ya kutohudhuria sherehe ya Wema

0
69

Muigizaji wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel amejibu tuhuma ambazo zinemuwndama baada ya kutoonekana katika sherehe ya shoga yake mkubwa Wema Sepetu.

Inasemekana msanii huyo hakufika kwenye sherehe kwa ajili kumlipizia kisasi Wema ambaye hakufika kwenye hafla yake siku za nyuma.

Aunty amesema kuwa hakuwa na sababu yoyote ya kumfanya ashindwe kufika kwenye sherehe ya Wema kwani ameshirikiana naye hatua zote lakini kilichomkuta ndiyo hicho cha nguo na wala hajamlipizia chochote.

Aunty amesema kuwa kwangu alichelewa tu na mwisho tulionana na picha alipiga, watu wanafananisha tukio la Idris ndiyo fundi alimharibia nguo Wema hakufanikiwa kufika”.

Wiki iliyopita muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu alizindua filamu yake mpya ialiyoshirikiana na na muigizaji Van Vicker kutokea nchini Ghana.

LEAVE A REPLY