Aunt Ezekiel adai Mose Iyobo hashtushwi na picha zake mtandaoni

0
464

Muigizaji wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel amesema kuwa mpenzi wake Mose Iyobo hashtushwi hata kidogo na picha za utupu anazopiga kwa sababu ni biashara tu.

Kauli hiyo ya Aunt imekuja kufuatia siku hivi karibuni muigizaji huyo kupiga picha akiwa nusu utupu na kuweka mtandaoni.

Aunt Ezekiel, amesema kuwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwenzie hashtushwi hata kidogo hizo.

Aunt amesema kuwa mara nyingi hata picha ambazo anapiga na Iyobo anakuwa pembeni kwa maana ni za matangazo ya sabuni yake hivyo hawezi kuvaa nguo ya kawaida anapokuwa bafuni zaidi ya taulo kuonyesha uhalisia.

Pia amesema kuwa Iyobo ashangazwi na picha kwasasababu ni biashara na mara nyingi Mose Iyobo anakuwaga wakati wa kupiga picha hizo.

LEAVE A REPLY