Audio: Is Heritage a new Diamond Platnumz? Listen to his song

2
7818

Ni staa anayekuja kwa kasi, ni kama Diamond ajaye kwenye miaka kadhaa ijayo.

Tofauti yao kubwa kwa sasa ni kuwa Diamond ameshatoka lakini Heritage yuko miaka michache nyuma kufikia mafanikio ya staa huyo wa Afrika.

Sikiliza ngoma yake.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY