Audio: Hivi ndivyo HIP HOP ‘ilivyomlipa’ Ney wa Mitego

0
2054

Unajua kuwa HIP HOP inauza na inalipa? Unajua kuwa mastaa kibao wamenufaishwa na HIP HOP? AY, Mwana FA, Joh Makini na wengine kibao. Hadi, aliyewahi kuandika mistari na kudai HIP HOP HAIUZI, HIP HOP HAILIPI pia amekuwa na mafanikio ya kiuchumi kutokana na muziki huo.

Unataka kujua, staa wa Hip Hop, Ney wa Mitego amenufaika kiasi gani kwa muziki huo?

Unajua rapa huyo ana nyumba za gaharma kubwa na ndogo kutokana na muziki huo?

Msikilize akiweka wazi utajiri alionao unaotokana na mistari yake.

LEAVE A REPLY