Aslay na Nandy wawashukuru mashabiki wao

0
317

Wanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy na Aslay wamewashukuru mashabiki wao waliojitokeza kwenye shoo yao Escape One siku ya Jumamosi.

Aslay na Nandy wamewashukuru mashabiki hao baada ya kujitokeza kwa wingi kwenye shoo yao kwa ajili ya kusheherekea siku ya wapenda nao.

Siku ya jumamosi wanamuziki hao walikonga nyoyo za watu kwenye usiku wa Valentine’s Day katika ukumbi wa Escape One.

Shoo hiyo ilihudhuriwa na watu kibao ambao waliwapa sapoti wanamuziki hao kwenye shoo yao ambapo watu wengi walijitokeza.

Shoo hiyo pia ilisindikizwa na baadhi ya wanamuziki wengine kama vile kundi la The Mafik, Ben Pol pamoja na Papii Kocha.

LEAVE A REPLY