Arsenal yaichapa Chelsea 2-1 na kutinga fainali kombe la Carabao

0
119

Klabu ya Arsenal jana imeifunga Chelsea 2-1 na kufanikiwa kutinga fainali ya kombe la Carabao ambapo itakutana na Manchester City.

Arsenal

Kiungo Eden Hazard ndiyo alikuwa wa kwanza kuiandikia Chelsea goli la kuongoza katika dakika ya sita ya mchezo ambapo Arsenal walisawazisha goli hilo katika dakika 12 kutokana na goli la kuijfunga la Antonio Rudiger.

OZIL

Goli la pili la Arsenal lilifungwa na kiungo wake Grant Xhaka baada ya kupokea pasi kutoka kwa mshambuliaji Alexander Lacazzete.

LEAVE A REPLY