Angalia kikosi cha Simba dhidi ya Ruvu Shooting leo

0
343

Simba leo inashuka dimbani kupambana dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mechi ya ligi soka Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Klabu hiyo imetoa kikosi kitakachoshuka dimbani dhidi ya maafande hao kusaka alama tatu muhimu kwenye mechi hiyo ili kujhakikishia ubingwa mapema.

Kikosi kamili.

1.Aishi Manula

2.Shomari Kapombe

3.Asante Kwasi

4.Erasto Nyoni

5.Mlipili

6.Jonas Mkude

7.Mzamiru Yassin

8.Said Ndemla

9.John Bocco

10.Emmanuel Okwi

11.Shiza Kichuya.

LEAVE A REPLY