Amber Lulu akanusha kutoka kimapenzi na Uchebe

0
34

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Amber Lulu amekanusha vikali taarifa za kutoka kimapenzi na aliyekuwa mume wa Shilole aitwae Ashrafu Uchebe.

Amber Lulu ameaua kuweka wazi suala hilo baada ya kuibuka kwa kasi mtandaoni na kuibua mijadala kwa baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo.

Amesema kuwa ameshangazwa kwa kile kinachoendelea mitandoni kwamba anahusihwa kuwa kwenye na mahusiano na aliyekuwa mume wa msanii Shilole Bwana Uchebe.

Amber Lulu amefunguka kuwa “Hayo ni mambo ya Instagram nimeshayazoea hanipi shida pia sipendagi kuyaongelea, sijui hata yameanzia wapi na sina hata cha kusma juu ya hilo.

Hivi karibuni Shilole aliachana na aliyekuwa mume wake wa ndoa, Ashraf Uchebe baada ya kumshushia kipigo.

LEAVE A REPLY