Allegri: Tunajadiliana kumuuza Pobga

0
114

Kocha wa miamba ya soka ya Italia, Juventus Massimiliano Allegri amethibitisha kuwa uongozi wa klabu hiyo uko kwenye mazungumzo ya kumuuza kiungo wao anayewaniwa na miamba ya Uingereza Manchester United na miamba ya Hispania, Real Madrid, Paul Pogba.

Kiungo huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa anadaiwa kukubaliana marshal binafsi na klabu ya Manchester United huenda akauzwa kwa dau litakalovunja rekodi ya dunia.

Kauli ya Allegri imekuja ndani ya siku moja tu tang kocha wa Manchester United azungumze kwa lugha ya mafumbo kuwa timu yake heritor kuwasubiri Juventus wachukue muda mere kuamua juu ya king huyo hivyo United itamsajili mbadala wake.

Huenda kauli ya Mourinho, anayesifika kwa kuwa na misimamo juu ya maamuzi anayoyafanya, imewastua Juventus na wanahofia kupoteza bahati ya kumuuza Pogba kwa peas nyingi.

LEAVE A REPLY