Alikiba kufanya show Australia

0
85

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Alikiba kesho anatarajia kufanya show kubwa nchini Australia ikiwa ndiyo show yake ya kwanza kufanya nchini humo.

Alikiba tayari yupo nchini Australia kwa ajili ya show yake hiyo ambapo ndiyo kwa mara ya kwanza anapiga show nchini humo hivyo mwanamuziki huyo amewataka mashabiki wake wa nchini humo kujitokeza hivyo.

Mwanamuziki huyo kupitia akaunti yake ya Instagram amewahimiza mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kwenye show yake hiyo.

Alikiba hivi karibuni alikuwa nchini Oman kwa ajili ya show yake na sasa yupo Australia kwa ajili ya show yake hiyo.

LEAVE A REPLY