Alikiba aachia ngoma mpya

0
108

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Jealous aliyomshirikisha mwanamuziki kutoka Nigeria, Mayorkun.

Allikiba ameachia ngoma hiyo kabla ya kuisha kwa mwezi Julai baada ya msanii huyo kudokeza ujio wa kazi yake mpya itakayoitwa jealous.

Kupitia page yake ya Instagram Alikiba ameandika kuwa “Before we continue with ‘bampa To bampa’ season, let me ask you ulishawahi kujiskia jealous kwenye kitu chochote”

Ngoma ya mwisho ya Alikiba inaitwa salute aliyoichia June 30 ‘ft’ Rude Boy kutoka Nigeria hivyo anatimiza ahadi yake ya kuachia ngoma ‘back to back’ mpaka atakapoachia Album yake mpya na ya 3 kwenye maisha yake ya muziki mwezi August.

LEAVE A REPLY