Alichoandika Zarry bada ya Diamond kupewa tuzo na Universal Music

0
373

Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kupewa tuzo na kampuni ya muziki maarufu duniani Universal Music Group hatimaye mpenzi wake Zarry amempongeza kwa mafaniko hayo.

Kupia akaunti yake ya Instagram Zarry the Boss Lady amempongeza mpenzi wake huyo ambapo amekuwa mwanamuziki wa kwanza Afrika kusaini na lebo hiyo maarufu duniani.

Zarry ameanza kwa kuandika “Congrats babe @diamondplatnumz for becoming the first African Artist signed under Universal to hit Six times platinum sales on your #MarryYouft @Neyo Record! Am super Proud!.

Diamond Platnumz amepatiwa tuzo hiyo hapo jana mara baada ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo kufikisha mauzo ya platinums sita, hivyo kumfanya kuwa msanii wa kwanza Afrika chini ya label hiyo kufikisha idadi hiyo ya mauzo.

LEAVE A REPLY