Alichoandika Jacquline Wolper baada ya S2kizzy kuvamiwa

0
38

Muigizaji wa Bongo Movie, Jacquline Wolper amepaza sauti kufuatia tukio la kuvamiwa na kuvunjiwa studio ya mtayarishaji wa muziki S2kizzy uliofanyika usiku wa October 15, 2020.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper ameandika “Kwahyo Tanzania imegeuka Nigeria ushenzi gani huu vijana wanapambana kutafuta Maisha kazi hakuna ata kama m2 umesoma vipi.

Pia ameandika alafu m2 from nowhere anakuja kuleta ubabe shame on u ,ata kama mnavisasi venu huko Maana atuwez jua Mambo yahapa Na pale (wanawake)lkin why upige watu wote Na why muharibu vtu??alafu utakuja kusikia hakuna kesi Na vtu vimepita tuu pumbavu kabisa.

Nyie watu mliopo karbu na viongozi naomba muwaoneshe huu uwonevu ulitokea kwa hawa vijana nawapate kusaidiwa, watu wenye mitandao msikalie kimya hii ikapita is not fear at all.

Ameendelea kuandika sina u karibu na yeyote hapo ila naweka sasa huyu ndio mdogo wangu kaanza Maisha yake then wababe wanakuja kuwarudisha Nyuma kirahs tuu.

LEAVE A REPLY