Alichoandika Harmonize kuhusu msanii wake Ibrah

0
70

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amewatoa hofu mashabiki wa msanii wake Ibra waliojaa na maswali kuhusu nyimbo ya Nani kutoingia kwenye Trending YouTube.

Msanii ameanza kwa kuandika: Naomba Niliweke Hili Wazii Kwanza Kabisa Tunatambua Na Kuona Support Mnayo Mpatia Kijana I Meen King Of New School.

Pia ameendelea kuandika Ibra Na Mapenzi Yenu 3.m Ndani ya Wiki 2 Lakini Pia Hata Hii Ngoma Mpa Ina Masaa (17) Ishatazamwa Na Watu Zaidi Ya Laki (2) Tayali..!!! Nataka Kuzungumzia Swala La Trend Kwaajili Ya KONDEGANG F.C. msije Mkavunjika Moyo Kuona Video Za Kijana Zilizowekwa Kwenye YouTube Yake Why Hazijaingia Mpaka Sasa Katika Trend …!!! Au Kuzani Labda Kunamtu Anachezea Hii Channel Ya Ibra No Hapana.

Ninachoamini Mimi Hakuna Anaeweza Chezea YouTube Yako Ikiwa Hatumii Email Yako Wala Haijuwi Pin Cord Yako Na Ndiomana Hujawahi Nisikia Siku (1) Nikitupa Lawama Sijuwi Kusema Nagandishiwa Views Sijuwi Wanapungu Kwasababu Naamini Ni Kitu Kisicho Wezekana Kabisa….!!!! Hakuna Mwenye Ujanja Huoo..!!! Usikubali hizo Fikra Potofu Kinachoendelea Kwa Bwana CHINGA nikwamba Account Yake Ni Mpya.

YouTube Wanautaratibu Wao Waku Monitor Hizi Channel So Ukishatimiza Masharti Yote Unapeleka Maombi So Katika Managment Yake Yalifanyika Makosa Yakatumwa Maombi Mara 2 Na Kupelekea YouTube Kutoelewa Who is The Owner. Uzuri Likagundulika Hilo Tatizo Na Uongozi Wake Unalifanyia Kaziiii.

So Msiwe Na Wasi Support Nguvu Yenu kwa Kijana inaonekana Swipe Pembeni Utaona Videos Za Kaka Zangu Na Dada Zangu Nyingi Tuu Ambazo Zipo Kwenye Trend Wenda Hii Nani ya Ibra Imeshazidi Watazamaji. Hata Pengine Mara Tatu…!!!! Au Zingine Zipo Sawa.

LEAVE A REPLY