Alichoandika Diamond Platnumz baada ya Wasafi Tv kufungiwa

0
54

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika ujumbe wake wa kwanza tangu kituo chake cha runinga kifungiwe kurusha matangazo kuanzia Januari 5 mpaka mwezi June mwaka huu.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji katika matangazo yake ya moja kwa moja ya tamasha la Tumewasha Tour.

Ujumbe alioandika Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond Platnumz ameandika ni wazi kabisa anaonyesha kuguswa pamoja na kusikitishwa na kitendo kilichotokea,kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika haya.

Pia ameendelea kuandika “Mwenyezi Mungu amekupa nafasi ili nawe kuwapa wenzio fursa waweze kujikwamua kimaisha… sio kila utakayempa nafasi atakuletea matokeo chanya. Usihuzunike, kubaliana na hilo na uendelee kutoa misaada, kuwapenda na kuwaheshimu wote.”

LEAVE A REPLY