Abdu Kiba akanusha kuachana na mke wake

0
52

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, AbduKiba amekanusha ndoa yake kuvunjika na yeye kutengana na mke wake mpaka kumrudisha kwao na kusema mke wake aliumwa na ilibidi arudi kwao ili kupata matunzo bora zaidi na wana familia.

Abdu Kiba amesema kuwa kwamba yeye na mke wake hawajawahi kugombana wala kupishana kauli kwa kuwa wao ni watu wazima na yupo na mke wake mpaka sasa.

Pia amesema kuwa “Mimi na mke wake hatujawahi kugombana wala kupishana kauli kwa kuwa wao ni watu wazima siwezi kumuacha kwa kuwa nampenda sana mke wangu”.

Katika hatua nyingine Abdukiba ameeleza kwanini Alikiba hajatokea akiimba katika video ya King Music ‘TOTO’ na kusema kuwa, “Yeye ametuonyesha njia ya kupita na nyimbo ya kwanza wakati tunaiachia alikuwa anatuonyesha njia na sasa tumeshaifaham njia hivyo ameamua kutuacha ili sisi tufanye wenyewe”.

LEAVE A REPLY